> Jinsi inavyofanya kazi

Fahamu Jinsi EasyKopa Inavyofanya Kazi

Fahamu hatua rahisi za kuuza kwa mkopo bila hatari, kulipwa papo hapo, na kujenga kipato endelevu kupitia mfumo salama wa kidijitali wa EasyKopa.
Kwa Dealers

Uza Zaidi Bila Hatari ya Mkopo

EasyKopa inakuwezesha kuuza simu kwa mkopo huku ukipata malipo yako papo hapo. Hatusimamii tu mfumo wa malipo bali pia tunakulinda dhidi ya wateja wasiolipa ili wewe uendelee kukuza biashara bila presha.
Kwa Wakala (SMEs)

Jenga Kipato Endelevu Bila Mtaji Mkubwa

Kupitia EasyKopa, unapata fursa ya kuuza simu na kulipwa kamisheni kila siku bila kuhitaji kuwa na stock yako mwenyewe. Tunakupa mfumo, mafunzo na msaada wa kukuza mauzo yako.
Kopa simu

Miliki Simu Kirahisi Kwa Malipo Nafuu

EasyKopa inakupa uwezo wa kuchukua simu unayoihitaji mara moja kwa kulipa kiasi kidogo cha kuanzia na kumalizia taratibu kwa awamu zinazokufaa.