> Kuhusu EasyKopa

EasyKopa ni Nani?

EasyKopa ni mshirika wa ukuaji kwa Dealers na SMEs/Mawakala, tukitoa mfumo salama, wa kisasa na wenye faida endelevu Tanzania.
Tunawawezesha..

Tunaongoza Mapinduzi ya Mkopo wa Simu

EasyKopa ni kampuni ya kitanzania inayowezesha maduka ya simu na mawakala kuuza simu kwa mkopo kwa njia salama na yenye faida.

Kupitia mfumo wetu wa kidijitali, tunarahisisha mchakato wa mauzo, tunapunguza hatari ya mikopo, na kuhakikisha washirika wetu wanalipwa kwa wakati.

Lengo letu ni kujenga mazingira bora ya biashara yanayochochea ukuaji wa uchumi wa kidijitali.

Dhamira Yetu
Kujenga mfumo salama wa mkopo unaokuza biashara na kipato endelevu.
Maono Yetu
Kuwa kinara wa ufadhili wa simu kidijitali Afrika Mashariki.