Kwa Dealers
Uza Zaidi Bila Hatari ya Mkopo
EasyKopa inakuwezesha kuuza simu kwa mkopo huku ukipata malipo yako papo hapo. Hatusimamii tu mfumo wa malipo bali pia tunakulinda dhidi ya wateja wasiolipa ili wewe uendelee kukuza biashara bila presha.
- Unauza leo, unalipwa papo hapo
- Hakuna hatari ya kufuatilia wadaiwa
- Mauzo yanaongezeka bila kuongeza mtaji
- Ripoti na takwimu za biashara papo hapo
- Usajili rahisi na wa haraka
- Referral inaleta kipato cha ziada
Kwa Wakala (SMEs)
Jenga Kipato Endelevu Bila Mtaji Mkubwa
Kupitia EasyKopa, unapata fursa ya kuuza simu na kulipwa kamisheni kila siku bila kuhitaji kuwa na stock yako mwenyewe. Tunakupa mfumo, mafunzo na msaada wa kukuza mauzo yako.
- Anza biashara bila mtaji mkubwa
- Pata kamisheni kwa kila mauzo
- Malipo ya kila siku na ya kila mwezi
- Upatikanaji wa stock wa uhakika
- Fuata maendeleo yako kidijitali
- Zawadi na bonasi kulingana na juhudi
Kopa simu
Miliki Simu Kirahisi Kwa Malipo Nafuu
EasyKopa inakupa uwezo wa kuchukua simu unayoihitaji mara moja kwa kulipa kiasi kidogo cha kuanzia na kumalizia taratibu kwa awamu zinazokufaa.
- Chukua simu kwa malipo kidogo
- Lipa kwa awamu rahisi zinazopangika
- Hakuna dhamana ngumu zinazohitajika
- Mchakato wa haraka na wa kidijitali
- Umiliki simu bora bila kusubiri
- Huduma salama na ya kuaminika